Tanzania News

Serikali ya Tanzania imepiga marufuku wimbo na kanda ya video ya muziki kwa jina chura wa msanii Snura Mushi kuchezwa katika vyombo mbalimbali vya habari hadi pale msanii huyo atakapoufanyia marekebisho wimbo huo. Vilevile Serikali imesitisha...
Barbershop ndiyo movie mpya itayoanza kuonyeshwa leo dunia nzima kwenye theater mbalimbali ambayo  wameshiriki mastaa wa kimarekani akiwemo, Nick Minaj, Common, Tyga, Ice Cube, Eve na wengineo.Kama vipi ungana na dunia nzima ukaangalie movie hiyo...
Msanii wa Bongefleva ambaye jina lake lilianza kushine kwenye game ya muziki wa Bongofleva toka akiwa na umri mdogo Mr. Blue, amerudi kwenye headlines baada ya kupost kupitia account yake ya instagram na kuelezea hisia zake kuhusu wimbo mpya...
You become powerful when you don't let people steal your joy & happiness or let negativity affect you or your life. Stay unbothered and you'll stay happy When she's got your back like that after your performance coz she is a self made Queen who...
Asubuhi ya Jumapili April 24 2016 headlines za taarifa za kifo cha mwimbaji mkongwe kutoka Congo DRC Papa Wemba alifariki  baada ya kuanguka jukwaani akiwa anatumbuiza huko Abidjan Ivory Coast. Sasa hapa tumempata meneja wa Diamond Platnumz, Sallam...